Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akiongoza Kikao cha Kamati ya Makatibu Wakuu kuhusu Utekelezaji wa Kuhifadhi Mazingira ya Bonde la Mto Kihansi (KCCMP) leo Juni 30, 2020 jijini Dodoma, uliohudhuriawa na wajumbe kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Wizara za kisekta na taasisi za Serikali zinazohusika katika mradi huo na mazingira.