Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais akutana na ujumbe kutoka Shirika la Mazingira la Umoja Wa Mataifa (UNEP

[:en]Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Joseph Malongo pamoja na Watumishi wa Ofisi yake akiwa katika kikao na Ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Mazingira (UNEP) wakati walipomtembelea Ofisini kwake katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Lengo la kikao hiko ni kujadiliana mambo yahusuyo mzingira ikiwemo mradi wa kurejesha uoto wa asili katika maeneo yaliyoharibika.[:]