KANUNI ZA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA ZAFANYIWA MAREKEBISHO

[:en]Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akifafanua kuhusu marekebisho ya kanuni ya Tathmini ya Athari kwa Mazingira mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Joseph Magufuli, katika hafla ya Uzinduzi wa Ujenzi wa daraja la Mto Sibiti na barabara unganishi ya Mkoa wa Singida na Simuyu.[:]