KAMATI YA URATIBU WA MASUALA YA VVU/UKIMWI NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA YAZINDULIWA

[:en]Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kamati ya uratibu VVU/UKIMWI na magonjwa yasiyoambukizwa mahali pa kazi, mara baada ya kuzindua kamati hiyo yenye wajumbe kutoka Idara na Vitengo mbalimbali. Uzinduzi huo umefanyika hii leo katika Ofisi ya Makamu wa Rais Jengo la Mtaa wa Makole, Dodoma.[:]