KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA ZIWA MANYARA

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (katika) akiongea na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge wa Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Murad Sadick mara baada ya kutembelea Ziwa Manyara kuona hali halisi ya Ziwa hilo kwa sasa ambalo liko hatarini kutoweka kutokana na ongezekeo la shughuli za kibadamu pembezoni mwa ziwa hilo zisizo endelevu. Wengine pichani, ni sehemu wa waheshimiwa wabunge, wajumbe wa Kamati hiyo.[:]