BALOZI HASSAN SIMBA YAHYA AMUAGA MAKAMU WA RAIS

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi mpya mteule wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Balozi Hassan Simba Yahya (kushoto) ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam[:]