ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MKALAMA

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa daraja la Sibiti kutoka kwa Kaimu Meneja Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Singida Mhandisi Matari J. Masige[:]