Waziri Simbachawene Aagiza Waliokiuka Maagizo Ya Serikali Wafutiwe Vibali Vya Kuingiza Na Kusafirisha Vyuma Chakavu.

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mh. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kikosi kazi kilichoundwa kwa ajaili ya uchunguzi wa makontena ya vyuma chakavu yaliyokamatwa katika jiji la Dar Es salaam.[:]