WAZIRI MAKAMBA ZIARANI SINGIDA

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akijionea uharibifu wa mazingira katika Ziwa Singidani ambao unatokana na shughuli za kibinadamu. Waziri Makamba ameazimia kunusuru Ziwa hilo pamoja na vyanzo vyake. Wengine katika picha ni viongozi kutoka Manispaa ya Singida.[:]