WAZIRI MAKAMBA AWEKA JIWE LA MSINGI SKULI YA AWALI KIZIMKAZI

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba mara baada ya kuweka jiwe la Msingi wa ujenzi wa Shule ya awali ya Kizimkazi iliyopo Shehia ya Kizimkazi- Mkunguni katika Wilaya ya Kusini, Jimbo la Makunduchi –Unguja ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za siku ya Kizimzikazi. Katika kuchangia ujenzi huo Waziri Makamba atatoa mifuko 50 ya saruji na bati 50.[:]