WATAALAMU ELEKEZI WA MAZINGIRA ZINGATIENI SHERIA, TARATIBU NA KANUNI – NAIBU WAZIRI SIMA

[:en]Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akizungumza na Wataalamu Elekezi wa Mazingira hii leo katika Ukumbi wa Millenium Towers Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine Mhe. Sima amesisitiza kwa wataalamu umuhimu wa kufanya kazi kwa mujibu wa Sheria, Taratibu na Kanuni zilizopo ili kwenda sambamba na kasi ya maendeleo ya viwanda.[:]