WARSHA YA WARSHA YA UDHIBITI KEMIKALI TAKA KWA WADAU WA SEKTA YA MAFUTA NA GESI NCHINI YAFANYIKA

[:en]Mgeni Rasmi Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Magdalena Mtenga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau walioshiriki warsha ya Uthibiti wa kemikali wa wadau wa mafuta na gesi, warsha hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Benki kuu Dar es Salaam.[:]