Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955165.
Click on the thumb to select the album.

dfdf
dfdf
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimpongeza kwa kumpa taji la maua mtoto wa dada yake, Musiba Mshimba, aliyehitimu katika Chuo cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki baada ya kutunukiwa cheti cha kuhitimu mafunzo ya Doctor Of Medicine wakati wa mahafali ya 9 ya chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa karimjee jijini Dar es Salaam leo mchana.
Mke wa Makamu wa Rais Ahudhuria mahafali
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Mohammed Chande, wakati wa Kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo hicho tangu kilipoanzishwa mwaka 1961, zilizofanyika Chuoni hapo jijini Dar es Salaam leo Oktoba 22,. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akitoa tuzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Kitivo cha Sheria, baada ya kutoa tuzo kwa baadhi ya wanafunzi wa zamani wa Taaluma ya Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal katika picha ya pamoja
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia Watanzania waishio New York na Vitongoji vyake, wakati alipokutana nao kwa ajili ya mazungumzo nao na kuwatambua, ikiwa ni mara ya kwanza tagu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo.
Makamu wa Rais aongea na Watanzania wanaoishi New York.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, jijini New York Juni 10, 2011
Makamu ahudhuli ufungaji wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ukimwi
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Comoro, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais mpya wa saba wa Jamhuri ya watu wa Comoro zilizofanyika kwenye Viwanja wa Bunge la nchi hiyo jijini Moroni Mei 26.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA COMORO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akipata Maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Bw Nurdin Babu alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa kilwa Kuzinduwa Mradi wa Uhifadhi Misitu ya Ukanda wa Pwani.
Waziri wa Nchi-Mazingira azinduwa mradi wa kuhifadhi misitu kand ya Pwani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi mkutano wa sita wa Kimataifa wa Afrika kuhusu Teknolojia ya Taarifa na Mawasiliano ya Ustawi, Elimu na Mafunzo (ICT).
Makamu wa Rais akifungua rasmi mkutano wa sita wa Kimataifa wa Afrika
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Profesa Amandina Lihamba, wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mara baada ya kufungua Warsha ya siku mbili kuhusu Utafiti.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA WARSHA YA SIKU MBILI KUHUSU UTAFITI YA VYUO VIKUU.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nungwi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILALA AZINDUA VYUMBA 7 VYA MADARASA YA SHULE YA SEKONDARI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akitembelea mahema ya wahanga 80, waliopatwa na janga la kuchomewa nyumba zao na watu wasiojulikana eneo la Pwani Mchangani
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWATEMBELEA WALIOUNGULIWA NA NYUMBA ZAO UNGUJA
asi
Makamu wa Rais katika Mkutano wa Nchi Maskini-Istanbul,Turkey
warsha ya kukuza weledi wa namna ya kukabiliana na kemikali haribifu kwa mazingira na viumbe kutoka mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Dar es Salaam na Tanga
Warsha-Kukabiliana na Chemikali Haribifu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Msaidizi Mkuu wa Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Derhan Dogan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam
Safarini Uturuki
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Tunzo ya Heshima Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mzee Mkapa kwa kutambuwa mchango wake bora kwenye mambo ya michezo kutokana na jitihada zake za kuwezesha kujengwa uwanja mpya wa michezo.
Tunzo za Michezo Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi (Hesabu za Serikali) Zanzibar, baada ya mazungumzo yao Ikulu Dar es Salaam jana, baada ya wajumbe hao kumaliza mafunzo ya siku nne ya kamati hiyo kuhusu Usimamizi na Matumizi ya fedha za Serikali, yaliyomalizika hivi karibuni jijini
Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi
Wafanyakazi wakiandamana kuelekea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana, wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi). Sherehe hizo ziliadhimishwa kitaifa Mkoani Morogoro na kuhudhuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete.
Sikukuu ya Wafanyakazi-Mei
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal katikati,akiwapungia mkono wananchi wa kijiji cha Busisi wakati alipokuwa akiteremka kutoka kwenye kivuko cha M.V Misungwi
Ziara ya Makamu Mkoani Mwanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Kamati ya Uongozi wa Bunge la Afrika Mashariki ulioongozwa na Spika wa Bunge hilo Nhe. Abdulrahman H. Abdi, wakati Ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam
Dk. Bilal akutana na ujumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge la Afrika Mashariki
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava Mara Baada ya Rais Jakaya Kikwete Kuapisha Makatibu wakuu Ikulu
Katibu Mkuu-Sazi Salula
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu ulioongozwa na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme hizo Dk. Reem Ibrahim Al Hashimy
Dk. Bilal akutana na ujumbe wa UAE na Balozi wa Brazil
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Zimbabwe Mhe. Thokozani Khupe. Mhe. Khupe alifika Ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam
Makamu na Ujumbe kutoka Zimbabwe
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala Bora Wakati ilipokuwa na Ziara ya Siku Moja,katika Ofisi ya Makamu wa Rais kulia Mwenyekiti ya Kamati hiyo Pindi Hazara Chana Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Abdullah Juma na Mbunge wa Chake chake Mussa Haji
Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala Bora
Wazir wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Teresya Huvisa akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini Kwake Kuhusu Uzinduzi wa Mpango wa Usafi wa Jiji la Der es Salaam utakaozinguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dk Mohamed Gharib Bilal kulia Mkurugenzi wa Mazigira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Nindu
Wazir wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira
Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Ruth Mollel akikabidhi vifaa vya kutendea kazi , gari moja na pikipiki 10 kwa Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Bonde la Ziwa Tanganyika ikiwa ni ufadhili kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Ruth Mollel akikabidhi vifaa vya kutendea kazi
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asli ya Kabila la Wagogo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa mjini Dodoma leo Nov 10, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kufanya mkoani hapa tangu apate wadhifa huo. Kiongozi huyo atakuwa mkoani hapa kuhudhuria mikutano ya CCM katika ngazi za Kamati Kuu na Halmshauri Kuu na kisha sherehe za kuapishwa wabunge sambamba na uteuzi wa Waziri Mkuu.
Makamu Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu waRais Mazingira,Dk.Batilda Burian akipanda mti katika kiwanda cha Saruji-Wazo Hill
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu waRais Mazingira
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Aman Abeid Karume akiwa pamoja na mkewe mama Shadia Karume wakibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Muungano na Katibu Mkuu OMR siku alipozindua rasmi jengo la OMR lililopo Tunguu Zanzibar
Jengo la OMR-Tunguu Zanzibar