Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 




Total site visits: 282768.


Photo Gallery


Click on the thumb to select the album.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Bi Samia Suluh, akiongoza kikao cha uratibu wa ajira kwa utumishi wa Zanzibar katika taasisi za Muungano, Ofisini kwake mtaa wa Luthuli
Utumishi katika Muungano
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Bw Said Shabani ambae ni Mwenyekiti Mwenza wa kikao cha Makatibu wa Kuu wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava Katika Kikao cha Mashirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Kikao cha Mashirikiano
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano Samia Suluhu Hassan akiagana na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Abdallah Juma Mara baada ya kumaliza Kikao na Kamatiya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bora Ofisini Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam
Kamati ya Bunge