Taarifa ya Utekelezaji wa Kamati ya pamoja ya SMT na SMZ,

Mhe. January Makamba akiwa na viongozi wakuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Kamati ya pamoja ya SMT na SMZ, kikao kimefanyika Dodoma.