Simbachawene afanya mazungumzo na Balozi wa Italy nchini

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) George Simbachawene akizungumza jambo na Balozi wa Italy nchini, Roberto Mengoni mara baada ya kutembelea ofisi za Wizara hiyo jijini Dar es salaam kujadiliana juu ya kushirikiana katika kusimamia miradi ya kutunza mazingira ili kuepukana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi.[:]