OFISI YA MAKAMU WA RAIS YASHIRIKIANA NA NEPAD KUTOA MAFUNZO

[:en]Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Joseph Sokoine (mwenye tai nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo kutoka Wizara na Taasisi za Serikali waliohudhuria mafunzo juu ya Usimamizi wa Matumizi Salama ya Teknolojia ya kisasa katika ngazi ya Utafiti[:]