Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara yakutana na Wazalishaji, Wasambazaji na Wauzaji wa Mifuko mbadala wa plastiki.

[:en]Mgeni Rasmi katika kikao cha wazalishaji, wasambazaji na Wauzaji wa mifuko mbadala kilichoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na Wizara ya Viwanda na Biashara Bwana Leo Lyayuka akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki waliohudhuria kikao hiko katika Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC)[:]