OFISI YA MAKAMU WA RAIS KUWA OFISI YA MFANO KATIKA UTUNZAJI WA MAZINGIRA – MAKAMBA

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiteta jambo na Katibu Mkuu Mhandisi Joseph Malongo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya hatua za awali za ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais. Kulia ni Balozi Joseph Sokoine Naibu Katibu Mkuu[:]