Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957412.MWAKILISHI WA FAO NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI MAKAMBA

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mbarak Abdulwakil pamoja na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Magdalena Mtenga wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba ( hayupo pichani) alipokuwa akiongea na mWakilishi wa FAO Nchini


 

<< Back to News Archive.