Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955363.WARSHA YA WAKUFUNZI WA VYUO VYA VETA NA MAFUNDI MCHUNDO WA VIYOYOZI NA MAJOKOFU

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Magdalena Mtenga akimkaribisha mgeni Rasmi kufungua warsha ya Wakufunzi wa vyuo vya VETA na Mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Idara ya Mazingira.


 

<< Back to News Archive.