Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955368.UJENZI WA UKUTA WA OCEAN ROAD

 Bw. Bernard Odhuno Msimamizi wa Mradi  wa Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke (kwa niaba ya Ofisi ya Makamu wa Rais) akibadilishana Mkataba na Bw. Sheikh Bawazir  Mkurugenzi Mtendaji wa   Kampuni ya Dezo Civil Contractors iliyopewa kazi ya  Ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke.  Mkataba huop umesainiwa leo katika Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.