Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955137.UJUMBE WA KAMPUNI YA DANGOTE WAMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote kutoka nchini Nigeria Bw. Edwin Devakumar Victor Gnanados ambaye alifutana na viongozi wengine wawili wa kampuni hiyo kuja kuzungumza na Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam,kushoto ni Meneja wa fedha Bw. Venkatesh.


 

<< Back to News Archive.