Balozi wa Palestina nchini Tanzania Bw. Hafen Shabit akisoma dua mara baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo kilichopo katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli, jijini Dar es Salaam.