Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Ngosi Mwihava akiongea na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Ofisi hiyo wakati wa kufungua kikao cha Menejimenti Ofisini hapo jijini Dar es Salaam.