Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955174.MAKAMU WA RAIS ATUNUKU SHAHADA NA STASHAHADA CHUO CHA ULINZI

Mahafali ya Nne ya Chuo cha Taifa  cha Ulinzi ya kutunuku Stashahada na Shahada ya Uzamili kwa wahitimu 38.

Wahitimu 17 wamefuzu katika kozi ya Stashahada ya Usalama na stratejia na wahitimu 22 wamefuzu kwenye Shahada  ya uzamili ya usalama na statejia ambapo wahitimu kutoka nchi za Botswana ,Burundi, Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, South Africa, Zambia, Zimbabwe na China .

Mheshimiwa Makamu wa Rais amewatunuku Shahada wahitimu wote na wale waliofanya vizuri kwenye kozi zao.


 

<< Back to News Archive.