Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957439.MAKAMU WA RAIS AKABIDHI FUTARI NA CHAKULA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa shughuli ya kukabidhi Futari na Chakula kwa watu wenye mahitaji maalum katika ofisi za UDA-RT Jangwani jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.