Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 2981852.WAZIRI MAKAMBA ASHIRIKI KUPANDA MIKOKO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akifurahia  jambo na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbweni waliojitokeza kuunga mkono zoez la upandaji wa mikoko uliongozwa na Waziri Makamba


 

<< View list of News and Events.