Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955304.BALOZI WA OMAN AMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saud Ali Mohamed Al-ruqaishi, wakati Balozi Saud alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.


 

<< Back to News Archive.