Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776791.NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AMPONGEZA GERTUDE CLEMENT

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (Kushoto) akiwa na Mjumbe Maalumu wa Amani na Mwanaharakati wa Mazingira Bi. Getrude Clement na Bw. Brightiles Titus wanaharakati wa Masuala ya Mazingira. Bi. Getrude aliwasilisha ujumbe wa vijana katika utiaji saini Mkataba wa Paris jijini Newyork kwa kushirikiana na Unicef.


 

<< Back to News Archive.