Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 2981783.MAKAMU WA RAIS AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi inayopambana na tatizo la Silaha Haramu baada ya kufungua Mkutano wa siku moja unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo katika Nchi za Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha.
 

<< View list of News and Events.