Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955151.MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MAFUNDI SEREMALA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali zinazotengenezwa katika kiwanda cha Mafundi Seremala cha (Kimasemo) kilichopo Sabasaba Mkoani Morogoro, wakati alipotembelea Kiwanda hicho kwa ajili ya kukagua kazi zinazofanywa na kikundi hicho ambapo ameahidi kuchangia jumla ya Tshs 10 milioni kwa ajili ya kuendeleza utendaji wa kiwanda hicho. Makamu wa Rais yupo Mkoani Korogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.


 

<< Back to News Archive.