Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955147.MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KIWANDA CHA NGUO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na wafanyakazi wa kiwanda cha Ushoni wa Nguo cha Mazawa kilichopo Msamvu Mkoani Morogoro baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea kiwanda hicho . Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.


 

<< Back to News Archive.