Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957421.MAKAMU WA RAIS ZIARANI MOROGORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia nguo za aina mbalimbali zinazotengenezwa na kiwanda cha Ushoni cha Mazawa kilichopo Msamvu Mkoani Morogoro wakati alipotembelea kiwanda hicho kwa ajili ya kuangalia utendaji wa kazi zinazofanywa kiwandani hapo. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.


 

<< Back to News Archive.