Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955180.WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEWA NA BALOZI WA ZAMANI WA NORWAY

Waziri wa NChi Ofisi ya Makamu - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba akizungumza na aliyekuwa Balozi wa Norway nchini Tanzania ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Norad huko Oslon  Norway, Bwana Jon Lomoy wakati alipomtembelea Waziri huyo Ofisini kwake leo.


 

<< Back to News Archive.