Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3777883.MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA WANAWAKE NA UONGOZI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mhe. Zakia Meghji alipowasili ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwa ajili ya kuzindua Kongamano la Wanawake katika Uongozi linalojadili kuendeleza Mazingira kuwezesha kuinua Wanawake ambao bado hawajapata fursa kufikia nafasi za Uongozi. Kongamano hilo lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi limefanyika Jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.