Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955317.MH. MAKAMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SPAIN NCHINI TANZANIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea na Balozi wa Spain nchini Tanzania Bw. Felix Costales. Balozi huyo alimtembelea Mh. Makamba na kufanya mazungumzo ya kudumisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili katika sekta ya Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira.


 

<< Back to News Archive.