Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955320.MAKAMU WA RAIS AKUTANA BALOZI WA CONGO NCHINI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Congo Nchini Tanzania Mhe. Mutamba Jean Pierne, wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini Kwake Ikulu Dar es salaam


 

<< Back to News Archive.