Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955329.MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba akimueleza jambo  Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Einar Hebogard Jensen alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni maafisa waliongozana na Balozi huyo.


 

<< Back to News Archive.