Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957411.MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA NANE WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII AFRIKA MASHARIKI NA KATI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (Kulia) akiteta jambo na Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Muhagama katika ufunguzi wa Mkutano wa nane wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Afrika Mashariki na Kati. Mkutano huo wa siku mbili umefunguliwa leo na unafanyika jijini Dar es Salaam


 

<< Back to News Archive.