Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955134.MAKAMU WA RAIS AUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA AFRIKA ETHIOPIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mwambata wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Nchini Ethiopia Meja Generali John Bishoge alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 26 kwa wakuu wa Nchi za Afrika ulioanza leo Januari 30,2016 Mjini Addis Ababa Ethiopia


 

<< Back to News Archive.