Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955162.WADAU WA MAZINGIRA KUJADILI UTARATIBU UPANGAJI TAARIFA KUHUSU BIODEVERSITY NCHINI

Mkurugenzi  wa Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Julius Ningu akizungumza  na Wajumbe wa Mkutano wa  Utaratibu wa Upangaji Taarifa (Clearing House Mechanism) kuhusu  Viumbe Hai,  wakati  wa ufunguzi  wa  Mkutano huo  uliofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Utafiti wa Dawa (NIMR), jijini Dar es salaam. 


 

<< Back to News Archive.