Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955309.MAMA SAMIA ASHIRIKI KUTOA HESHIMA YA MWISHO KWA MWILI WA LETICIA NYERERE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za mwisho leo Januar 20,2016 wakati wa Mwili wa  aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.


 

<< Back to News Archive.