Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955369.MAMA SAMIA ASHIRIKIA KUTOA HESHIMA YA MWISHO KWA MWILI WA LETICIA NYERERE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilal walipokutana Msasani Dar es salaam leo Januari 20, 2016 wakati wa kuaga Mwili wa  aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.


 

<< Back to News Archive.