Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955344.MAKAMU WA RAIS AZINDUA WA MPANGO MKAKATI WA UMOJA WA MATAIFA WA UADILIFU KWA WAFANYA BIASHARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la mpango Mkakati wa Wafanyabiashara Tanzania Patrick E. Ngowi kushoto, Mwakilishi mkaazi wa Umoja wa Mataifa Alvaro Rodriguez katikati na msaidizi wa Balozi wa Zurich Nchini Florence T. Mattli kabla ya kuzindua mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shuhuli zao kwa uadilifu (UNGC) uliofanyika Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.


 

<< Back to News Archive.