Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955351.NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA JIJINI MWANZA

Naibu waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mh. Luhaga Mpina akipewa maelezo kutoka kwa Afisa Mazingira wa Kiwanda cha Nyanza Bottling Company Limited kuhusu mtambo wa kutibu maji taka yanayozalishwa kiwandani hapo. MNaibu Waziri ameupongeza uongozi wa Kiwanda hicho na kuwataka wazidishe hali ya usafi wa mazingira kiwandani hapo.


 

<< Back to News Archive.