Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955131.WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MHE. DKT.INJINIA BINILITH SATANO MAHENGE AKIPATA MAELEZO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Magalula Said Magalula  wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mzalishaji wa kiwanda cha Tanga Sementi  Bw. Ben Lema, jinsi wanavyopima sementi kuangalia ubora wake kabla ya kusambaza kwa watumiaji na jinsi wanavyojitahidi kulinda Mazingira kiwandani hapo.


 

<< Back to News Archive.