Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955181.Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mzingira akizungumza na Balozi wa Ujerumani

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dr. Eng. Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto), Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Mazingira Bw. Julius Ningu (wa kwanza kulia) wakiwa pamoja na Balozi wa Ujerumani Mr.  Hans Koeppel kwa ajili ya Mazungumzo jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.