Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955358.NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA AKAGUA MAENEO YA STAND KUU DODOMA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola hii leo ametembea eneo la stendi kuu ya Mkoa wa Dodoma kujionea hali ya mazingira baada ubomoaji uliofanywa na RAHCO. RAHCO wamepewa muda wa wiki mbili kuzoa vifusi vyote katika eneo hilo
 

<< View list of News and Events.