Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955333.WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI (WASHIRIKA WA MAENDELEO)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba (katikati) akiongea wakati wa mkutano na na Mabalozi ambao ni Washirika wa Maendeleo. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais liliko barabara ya Luthuli. Wa mwisho kushoto ni Ktibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustin Kamuzora.


 

<< Back to News Archive.